WHO: Visa vinne kati ya kumi vya saratani vinaweza kuzuilika
Uchambuzi mpya wa shirika hilo unaonesha kuwa takriban asilimia 37 ya visa vipya vya saratani vilivyoripotiwa mwaka 2022, sawa na visa milioni 7.1, vilihusishwa na sababu zinazoweza kuzuilika.